Unastahili Kuabudiwa by Upendo Nkone


Song Lyrics


Amen Haleluya by Upendo Nkone

download - purchase

Unastahili Kuabudiwa
by Upendo Nkone

Album: Amen Haleluya


unastahili yesu kuabudiwa
unastahili yesu kuinuliwa
unastahili yesu kusujudiwa

A aaaaaaah

unastahili
mungu wetu tunakusifu.
mungu wetu twakuinua Yale uyatendayo Ni makuu mno

f dhili zako za milele haufananishwi na chochote

milele na utadumu...)

(chorus)


Song Ratings and Comments


rating 5.0 with 1 vote

1 fav

View My Favorites


mungu akubariki nyimbo nimeipenda sana.mungu akupe nguvu - Apr 2021


Related Albums by Upendo Nkone